Header

OTILE BROWN NA VERA SIDIKA WA WARUBUNI MASHABIKI!

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya na mpenziwe mrembo na mjasiriamali maarufu kwasasa Africa Vera Sidika, wemewatapeli mashabiki wao kiakili kwakile kilichoonekana kuwa baada ya mahaba, huba na nyondha za kukata na shoka wakaja kutangaza kutengana kwa ghafla mnamo tarehe 30 ya mwezi huu wa Julai. Baada ya Otile kupost na kuwajulisha mashabiki wakekupitia mitandaotafauti ya kijamiii kuwa wameachana na V|R|K pia mrembo huyo alijibu kwa post nyingine kupitia mitandao yake tofauti ya kijamii kitu ambacho kilisisimua hisia tofauti kutoka kwamashabiki wao ambao wengi wameonekana kutofurahia mapenzi ya Vera kwa Otile Brown.

Msanii Otile Brown

 

Hata hivyo imebainika hivi leo kuwa, Otile Brown alikuwa anatumia kiki hii ili kutangaza ujio wa nyimbo yake mpya kwajina Baby Love ambayo imetoka hivi leo nakupakiwa kwenye mtandao wake wa YouTube na kwasasa hivi masaa mawili yaliyopita na tayari iemetazamwa mara elfu kumi na nane na bado inasoma. Otile na Vera Sidika tangu kuungana kama wachumba nyota ya masanii huyu Otile Brown imeonekana kung’aa na mafanikio yake kimaisha yamechukua hatamu mpya za kimsingi. Otile Brown kwakweli anabahati ya mtende, licha ya matusi makali anayo yaoga kutoka kwa mashabiki wake, msanii huyu ameamua kuyajibu matusi haya kwa kupitia wimbo huu kwajina Baby Love, ambao maeweka wazi kupitia Bio yake ya YouTube kuwa amemtungia mchimba wake Sidika na pia amemtumia mrembo huyo kama vidieo queen. Hii simara ya kwanza kwa Vera Sidika kurumiaka kuwa Video queen ama jina lake kutumiaka kwenye video za wasanii maarufu bali inakumbukwa hata hapa Tanzania Harmonize na Rich Mavoko walishawahi kutumia jina la mrembo huyu kwenye ngoma yao maarufu kama Show Me.

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...