Header

July 2018
July 25, 2018

Gigy Money aingia tena Studio na Whozu na Producer Ammy

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Gigy Money ameonekana akiwa Studio na Msanii  Whozu na Mtayarishaji wa muziki Ammy na tayari Gigy amethibitisha kuwa wanaandaa kolabo ya wimbo mwingine. https://www.instagram.com/p/BlpZN51h5ea/?hl=en&taken-by=gigy_money_og Gigy na Whozu tayari wamefanya Kazi ya pamoja ambayo ... Read More »

July 25, 2018 0