Header

July 2018

July 24, 2018

NEW VIDEO: LEVEL -BEKA THE BOY X PETRA!

  Wakati ushindani mkuu unao shuhudiwa nchini Kenya kimuziki unavyozidi kuwaka moto, wasanii wakuimba haswa wanao tokea upande wa Pwani ya Kenya wamekuwa wakiumiza vichwa haswa huku kila mmoja akija na mawazo yake kivyake ilimradi kuwabwaga wenzake. Kuna wasanii wanao ... Read More »

July 24, 2018 0