Header

July 2018


July 10, 2018

NEW MUSIC: BEKA THE BOY- VUMILIA

Msanii Beka the Boy kutoka Kenya, amemusaka mtayaridhaji wa muziki mukali nchini Kenya amabaye amehusika pakubwa kuzitengeneza, tayarisha na kuzifanya hits zote za msanii mkaazi wa nchini Kenya ila mzaliwa wa nchi ya Burudi almaarufu kama Kidumu. Mtayarishaji huyu ... Read More »

July 10, 2018 0

July 5, 2018

Trend Solar waleta neema kwa watanzania

Kampuni ya Trend Solar, inayotoa huduma za Umeme wa kulipia usiotegemea gridi nchini Tanzania, siku ya leo imezindua programu ya kisasa ya umeme ambayo itasaidia jamii kubwa ya waafrika waishio vijijini. Trend Solar ilianza huduma yake mwaka 2017, chini ... Read More »

July 05, 2018 0