Header

Injili ya Hope Kid yagonganishwa na Mtindo maarufu wa Tupac Shakur

Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Hope Kid HK ameibua hoja ya maswali kwa picha yake aliyopiga akiwa na kitambaa kichwani.

Staa huyo wa muziki wa Injili aliweka picha hiyo siku kadhaa zilizopita akiwa katika Β muonekano ulioambatana na kufunga kitambaa kichwani, hali iliyomsumbua kwa maswali Mtangazaji wa kituo cha redio cha Ghetto (Ghettoi Radio) cha Nchini humo, Annitah Raey.

Mtagazaji Annitah Raey

Annitah Raey aliitundika picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika “Sasa huyu Bae wangu.. Vitambaa kwa kichwa tena..
HK we need to talk πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Anyho wacha tuseme ni swag 😎😎😎”.

Muonekano huo uliomsukuma Annitah ni kati ya aina ya uvaaji iliyopata umaarufu zaidi kwa Rapa Marehemu wa Marekani, Tupac Shakur.

Tupac Shakur

Comments

comments

You may also like ...