Header

Otile Brown atoa jibu sahihi la kufuta Picha za Vera Sidika Mtandaoni

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Otile Bown amehibitisha ukweli wa kilichosemekana kuwa yuko katika hali ya kutoelewana na Mpenzi wake Vera Sidika.

Baada ya wawili hao kuondoa kila picha za mwenzake katika akaunti za mtandao wa Instagram kilichofuata ni ujio wa wimbo mpya wa Otile kwa jina ‘Baby Love’ ambapo Video Queen wa wimbo huo ni Vira Sidika.

Wimbo huo uliobeba mahudhuhi ya mapenzi umetayarisha chini Producer Ihaji na anayeonekana kuimbiwa ni mrembo Vera Sidika. Video ya wimbo imeongozwa na Director X Antonio.

Itazame video ya wimbo mpya wa Otile Btown ‘Baby Love’.

Comments

comments

You may also like ...