Header

D’banj azidi kuzongwa na huzuni tangu apate Msiba wa mwanae wa kiume

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, D’banj ameendelea kupitia wakati mgumu tangu alipompoteza mwanae wa kiume, Daniel Oyebanjo III mwezi uliopita.

Kupitia ukurasa wake wa Instgaram, Dbanj aliandika kuwa wiki kadhaa zilizopita amekuwa akipitia wakati mgumu lakini anashukuru sana kwa ushirikiano ambao amekuwa akiupata kutoka kwa watu wake wa karibu.

Post ya D’banj kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Comments

comments

You may also like ...