Header

Khaligraph Jones akutana Uso kwa Uso na Staa wa Rap na mchekeshaji Big Shaq

Mchekeshaji na Staa wa Muziki wa Rap anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Man Don’t Dance’, Michael Dapaah a.k.a Big Shaq tayari ametua nchini Kenya ambapo ameonekana kukutana na mkali wa muziki wa rap wa nchini humo, Khaligraph Jones.

Big Shaq na Mastaa wengine wa kimataifa akiwemo Mwimbaji Keri Hilson kutoka Marekani na wakali wengine kutoka nchini humo watatoa Burudani katika show ya Treminal Music Weekend itakayofanyika tarehe 4-5 mwezi huu mjini Nairobi katika Viwanja vya KICC.

 

Comments

comments

You may also like ...