Header

Mtangazaji Steve Harvey apewa Shavu kwa Mara Nyingine Miss Universe 2018

Mtangazaji maarufu wa Tv na Mchekeshaji kutoka Marekani, Steve Harvey ametangazwa tena kuwa mwenyeji/host wa Miss Universe 2018 nchini Thailand.

Ikiwa ni tukio la kidunia ambalo Mtangazaji Steve atakuwa anahost kwa mara ya nne, Tukio hili litafanyika mjini Bangkok, Desemba 16 mwaka huu.

Mtangazo yatakuwa rushwa mubashara na kutazamiwa kufatilwa katika nchi zaidi ya 190 na kuonekana kwa zaidi ya watu nusu bilioni.

Comments

comments

You may also like ...