Header

BASATA yatoa Majibu juu ya Safari ya Diamond Platnumz kwenda nchini Afrika Kusini

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa Tanzania, Godfrey Mngereza ametolea maelezo taarifa zakumtaka Msanii wa Muziki Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa na kibali kutoka katika uongozi wa Baraza hilo kwa ajili ya kusafiri kwenda nchini Afrika Kusini kwenye Sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwanae, Princess Tiffah zilizofanyika jana.

Msikilize hapa

 

Comments

comments

You may also like ...