Header

D’banj aonjesha wimbo wake Mpya utakao kuwa maalum kwa Mkewe ‘Lineo Didi Kilgrow’

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, D’banj ameonjesha kipande kidogo cha wimbo wake mpya ambao utakuwa ni maalum kwa mke wake, Lineo Didi Kilgrow.

Hii inakuja siku chache baada ya kushukuru kila mtu kwa upendo na msaada wao baada ya kumpoteza mtoto wao, Daniel III.

Jina la wimbo bado halijajulikani lakini D’Banj aliweka kionjo cha wimbo huo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuweka maelezo:

“Together We Will Pass Every Test That We Pass Through. This Is For You My ❤️ #whatIwant #LetterToMyWife #Everything #MamaDaniel 8/8/18”.

Comments

comments

You may also like ...