Header

Jeshi la Polisi lazungumza juu ya Kupigwa kwa Mwandishi wa Habari ‘Sillas Mbise

Jeshi la Polisi Kanda maalum ya mkoa wa Dar es Salaam, limesema tayari limeshafungua jalada la uchunguzi kuhusu tukio la kupigwa kwa mwandishi wa habari, Sillas Mbise lililotokea Agosti 8, wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Timu ya Simba SC na Asante Kotoko ya Ghana.

Comments

comments

You may also like ...