Header

Nyashinski awatupia mzigo wa Umaarufu Sauti Sol na Khaligraph Jones

Rapa na Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Nyashinski amerusha mkuki wa kilichotokea njuu ya jina lake kwa Mastaa wenzake wa kundi la muziki la Sauti Sol na Rapa Khaligraph Jones wa nchini humo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nyashinski aliweka picha ya gari dogo la abiria lililonekana likiwa katika mikono ya Sheria ambapo ubavuni mwa gari hilo ilionekana Picha na jina lake. Nyashinski aliiweka picha hiyo mtadaoni na kuandika “Surely, hawangeshika ya @khaligraph_jones ama @sautisol na vile zao ndio mingi?? 😩”.

Post ya Nyashinski.

Comments

comments

You may also like ...