Header

Video ya wimbo mpya wa ‘Jex’, Ashirikiana na watu maarufu Tanzania

Msanii mwenye Dalili za kufanya vizuri katika tasnia ya muziki nchini Tanzania, anasikika katika wimbo wake mpya uitwao ‘Futa’ uliotayarishwa na Producer Abbah Process, anakwenda kwa jina Jex.

Wimbo huu mpya umetoka sambamba na video chini ya uogozaji wa Director Hanscana. Video Queen akiyepamba video ya wimbo wake huu mpya ni mrembo Nai Official.

Itazame video ya wimbo huu

Comments

comments

You may also like ...