Header

Amani G amshirikisha Mwimbaji Vivian kwenye wimbo wake wa Pili

Msanii wa muziki aliyepata jina kubwa katika Umri mdogo kutoka nchini Kenya, Amani G aliyefahamiaka zaidi kwa wengi kupitia video aliosikika na kuonekana akiimba kwa ufundi wimbo wa Alicia Keys ‘Girl On Fire’, ameachia wimbo wake wa pili alioshirikiana na mwimbaji Vivian.

Wimbo umetayarishwa na Producer Jacky B na video ya wimbo kuongozwa chini ya TrueD Pictures.

Comments

comments

You may also like ...