Header

Mtangazaji Zain Asher athibitisha kuwa anatarajia kupata Mtoto

Mtangazaji wa kituo cha CNN Raia wa Uingereza mwenye asili ya Nigeria, Zain Ejiofor Asher ‘Zain Asher’ amethibitisha kuwa siku za hivi karibuni anatarajia kuwa mama.

Zain alithibitisha kuwa yeye na mumewe Steve Peoples wanatarajia kupata mtoto na ni furaha kubwa kwao.

Mama huyu mtarajiwa aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa instagram kuwa Chumba cha Mwanae mtarajiwa kimekamilika.

“Baby’s room is finally ready! I’m bursting with excitement. Not long now until our prince is here. 😄 #nursery#babyroom” Aliandika Zain Asher kwenye Ukurasa wake wa Instagram.

Comments

comments

You may also like ...