Header

New Music Video: Christian Bella Ft. Werrason – Moyo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Christian Bella ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Moyo’ aliomshirikisha Mkali wa muziki wa Dansi kutoka  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Werrason.

Wimbo huu umetoka chini ya Kingdom Music, kwa utayarishaji wa Studio ya Square Music na video kuongozwa na Kwetu Studio.

Comments

comments

You may also like ...