Header

Ali Kiba kuvunja ukimya baada ya ‘Mvumo wa Radi’?

Staa wa muziki wa Bongo Fleva na hitmaker wa wimbo ‘Mvumo wa Radi’, Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ au ‘King Kiba’ amehisiwa kuwa muda wowote kuanzia sasa anaweza kuachia wimbo.

Hii ni kutokana na mfululizo wa picha mpya za Staa huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram ambazo baadhi zinahisiwa kuwa alizipiga akiwa location katika mazingira ya kushoot video.

Hata hivyo mpaka sasa King Kiba anaendelea kufanya vizuri na singo yake ya ‘Mvumo wa Radi’ yenye muda wa miezi mitatu sokoni. Singo hiyo ilitoka baada ya kimya cha Mwaka mzima tangu ulipotoka wimbo wake ‘Aje Remix’.

Yeebabaa am in Toronto #mofayabyalikiba #KingKiba

A post shared by alikiba (@officialalikiba) on

 

#mofayabyalikiba #KingKiba

A post shared by alikiba (@officialalikiba) on

 

#mofayabyalikiba #KingKiba

A post shared by alikiba (@officialalikiba) on

Comments

comments

You may also like ...