Header

Fid Q afichua Cover ya album yake ya tatu ‘KitaaOLOJIA’

Rapa na Staa wa muziki kutoka Tanzania, Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q amefichua Cover itakayotambulisha album yake ya tatu kwa jina ‘KitaaOLOJIA’.

KitaaOLOJIA imesubiria kwa takribani miaka mnne na kuna kila Dalili kuwa Album hiyo itatoka rasmi mwaka huu.

Cover ya Album ‘kitaaOLOJIA’

Fid Q alishaachia album mbili sokoni ambazo ni ya kwanza ‘Vina Mwanzo Kati na Mwisho’ na ya pili kwa jina ‘Propaganda’ iliyotoka mwishoni mwa mwaka 2009.

Comments

comments

You may also like ...