Header

Sallam SK athibitisha kutoka kwa kolabo ya Diamond Platnumz na Rihanna

Meneja wa Msanii Diamond Platnumz, Sallam SK a.k.a Mendez amethibitisha uwezekano wa kutoka kwa kolabo ya Msanii wake huyo na Staa wa muziki kutoka Marekani, Robyn Rihanna Fenty maarufu kama Rihanna.

Akijibu maswali katika kipengele cha YES/NO au NDIO/HAPANA kwenye kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Sallam SK amesema ‘YES’ alipulizwa kama Kolabo ya Diamond Platnumz na Rihanna itatoka.

Hata hivyo Sallam SK mbali na kuthibitisha kuwa itatoka, awali alithibitisha uwepo wa kolabo ya wawili hao mwishoni mwa mwaka 2016.

Comments

comments

You may also like ...