Header

Whozu ashindwa kuchagua kati ya Mbinguni na Duniani

Msanii wa muziki na Mchekeshaji kutoka Tanzania, Whozu amedokeza kuwa ana wimbo uliohisiwa kuwa utakwenda kwa jina la ‘Popote Kambi’ uliotayarishwa na Producer Kimambo.

kupitia ukurasa wake wa Instagram, Whozu aliweka kipande cha video akiwa Studio na Producer huyo na kuadika kuwa, muda wowote anaweza kuachia wimbo mwingine baada ya wimbo wake wa ‘Huendi Mbinguni’.

Post ya Whozu.

Hata hivyo Whozu aliyejizolea umaarufu kwa mtindo wake wa kuwasilisha ujumbe kwa sanaa ya uchekeshaji, kuna uwezekano mkubwa pia katika ujio huo wa wimbo mwingine mashabiki wakakutana na Ubunifu na Burudani ya aina yake.

Comments

comments

You may also like ...