Header

August 2018

August 13, 2018

AY na Mkewe Remy wapata Mtoto wa kiume

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Ambwene Allen Yessayah 'AY' na mkewe Remy, wamepata mtoto wa kiume na kumpatia jina la 'AVIEL YESSAYAH'. Mke wa Staa huyo wa Bongo Fleva, Remy amejifungua jana pale Medical City Healthcare Dallas Texas, Marekani. Mtoto ... Read More »

August 13, 2018 0