Header

August 2018

August 6, 2018

Akaunti za Zari the BossLady zafichwa na wadukuzi

Kupitia Instagram Account ya Mwanae 'Princess Tiffah', Zari The BossLady ameto taarifa kuwa baadhi ya accounts zake za mitandao ya kijamii zimedukuliwa(Hacked) ikiwemo ya Instagram na kuwataka wafuasi wake kuwa wavumilivu kwakuwa tatizo hilo linashughulikiwa na wataalamu.

August 06, 2018 0