Header

Shaggie Bee Afungua Mlango wake wa kwanza na Rapa Kristoff

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Shaggie Bee ameachia kolabo ya wimbo wake mpya na wa kwanza kwa jina ‘Wangu’ aliomshirikia Mkali wa michano kutoka nchini humo, Kristoff.

Kristoff

Katika maelezo rasmi ya utambulisho wa wimbo huo, Shaggie Bee aliurekodi katika studio za chini ya utayarishaji wa Producer Motif On The Beat katika Studio za Melwood za nchini Kenya.

Shaggie Bee

Video ya wimbo huo iliwakutanisha Shaggie Bee na Kristoff katika baadhi ya vipande vya video, katika kubeba maana na maudhui ya wazo la wimbo, Video Uongozwa na Director X-Antonio.

Itazame video video ya wimbo huo hapa chini.

Comments

comments

You may also like ...