Header

Kanye West kudondosha Nyingine nje ya ile atakayoshirikiana na Chance The Rapper

Rapa Kanye West mbali na kuwa anatarajiwa kusikika kwenye Album ya kushirikiana na Mkali Chance The Rapper itakayokwenda kwa jina ‘Good Ass Job’, Pia inahisiwa kuwa katika siku chache zijazo ataachia album yake mpya takayokwenda kwa jina ‘Yandhi’.

Kwa mujibu wa Post yake kupitia akaunti za mitandao yake ya kijamii(Instagram na Twitter), rapa Kanye Omari West ‘Kanye West’ mwenye umri wa miaka 41, aliweka picha yenye muonekano wa CD iliyokuwa sambamba na neno “YANDHI 9 29 18” na kutafsiriwa na wengi kuwa tarehe 29 Septemba mwaka huu Album hiyo inaweza kutoka rasmi.

 

 

Comments

comments

You may also like ...