Header

Idris Sultan arusha kijembe kwa Mume Mwenza

Staa wa Filamu na Mchekeshaji kutoka Tanzania, Idris Sultan amemetakia heri ya kuzaliwa aliyemtaja kuwa ni mme mwenzake kwa kati ya waliowahi kuwa wapenzi wake.

Wema Sepetu na Idris Sultan Enzi walizokuwa Wapenzi

Sutlan mwenye umri wa miaka , kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika kuwa ujumbe huo wa kumtakie heri uliodhaniwa kuwa ulienda kwa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na kuweka kijembe cha kuwa huwa anaadithiwa hivyo aongeze bidii(Jambo lilihisiwa kuwa angoze bidii awapo katika uwanja wa Mahaba).

“By the way Happy birthday mume mwenza kwa nanilii na nanilii na nanilii pia kwa kukumbuka tu haraka haraka. Huwa wananihadithia kwahiyo kaza mwamba” Aliandika Idris Sultan.

Post ya Idris Sultan.

Hata hivyo kwa Idris Sultan imekuwa ni kawaida kutuma jumbe zenye tafsiri zenye utata kwenye siku za kuzaliwa za baadhi ya watu wake wa karibu na watu maarufu kutoka ndani na nje ya Tanznaia.

Comments

comments

You may also like ...