Header

Sallam SK Aweka neno juu ya HELA

Meneja wa msanii wa muziki, Diamond Platnumz, Sallam SK ameweka ujumbe wa kuwakumbusha watu juu ya kutokatishwa tamaa katika utafutaji na kufanikiwa kumiliki HELA.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Sallam aliandika kuwa zipo pande mbili kimaisha za hali ya kuwa nacho na kutokuwa nacho, hivyo katika kusaka unachotaka usikubali kukatishwa tamaa kwakuwa Hela ni Sabuni ya Roho.

Tweet ya Sallam SK.

 

Ujumbe huu wa Meneja Sk ulitafsiriwa na baadhi ya wafuasi na watumaji wa mtandao wa twitter katika maudhui tofauti na kusababisa maoni tofauti yaliyofuata sambamba na ujumbe huo  mtandoni.

Comments

comments

You may also like ...