Header

Avril Ampa mkono Khaligraph Jones kwa kupeperusha Bendera ya Kenya Marekani

Staa wa muziki na Muigizaji kutoka nchini Kenya, Judith Nyambura Mwangi a.k.a Avril amempa pongezi ya ushindi wa tuzo ya AFRIMMA 2018 rapa Khaligraph Jones.

Mrembo Avril alimpongeza Khagraph kwa tuzo ya ushindi ya kipengele cha ‘Best Rap Act’ cha tuzo zilizofanyika Wikiendi hii huko Dallas Texas Marekani.

Khaligraph Jones

Avril alindikwa ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa Instagram ulioambatana na Picha ya Khaligraph Jones.

Waking up to great news .. congratulations @khaligraph_jones ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ #BestRapAct ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช #Afrimma ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช #KenyaToTheWorld #KeepYourOwnPaceย ”

Khaligraph Jones aliwapiga chini wakali wenzake kama kwenye kipengele hicho cha tuzo .Pia Khaligraph alipata nafasi ya kutoa burudani kwenye jukwaa la Tuzo hizo zilizowakutanisha mastaa mbalimbali kutoka Afrika.

 

Comments

comments

You may also like ...