Header

Mwanachuo ajifungisha Ndoa Mwenyewe kuwaridhisha wazazi

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Oxford cha Uingereza raia wa Uganda, Lulu Jemimah, ameamua kujioa mwenyewe kutokana na kutaka aolewe.

Lulu mwenye umri wa miaka 32 alichukua maamuzi hayo kwa nia ya kuondokana na lawama na maneno ya kila mara kutoka kwa wazazi na ndugu zake wa karibu wakimtaka aingie katika maisha ya Ndoa.

Katika jitihada za kuwaridhisha wazazi wake na ndugu zake, Lulu aliamua kujivisha Pete na kuandaa harusi yake mwenyewe nchini Uganda mwezi Agosti chini na kutuma mialiko rasmi ya kuwakaribisha watu wake wa karibu.

Lulu ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika chuo hicho mashuhuri duniani.

Comments

comments

You may also like ...