Header

JESHI LA POLISI TANZANIA, KITENGO CHA USALAMA BARABARANI WAPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA KUTOKA GSM TANZANIA

 

Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani(SACP) Fortunatus Musilimu(kulia)akikabidhiwa msaada wa kompyuta mpakato na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa GSM Group,Matina Nkurlu(kushoto)kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya”Usalama barabarani kamanda Cup”yatakayoanza hivi karibuni yenye lengo la kutoa elimu ya Usalama barabarani na namna ya kutumia vyombo vya moto vizuri,Wapili kushoto ni Mkuu wa kitengo cha elimu kwa Umma makao makuu ya kikosi cha Usalama barabarani,Mrakibu wa polisi,Abel Swai.

Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani(SACP) Fortunatus Musilimu(kulia)akimsikiliza kwa makini wakati  Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa GSM Group,Matina Nkurlu(kushoto)akimfafanulia jambo wakati wa hafla ya kukabidhiwa kompyuta mpakato iliyotolewa msaada na kampuni hiyo kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya”Usalama barabarani kamanda Cup”yatakayoanza hivi karibuni yenye lengo la kutoa elimu ya Usalama barabarani na namna ya kutumia vyombo vya moto vizuri,wakishuhudia wapili kushoto ni Mkuu wa kitengo cha elimu kwa Umma makao makuu ya kikosi cha Usalama barabarani,Mrakibu wa polisi,Abel Swai na CPL Perpetua Dangat.

Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani(SACP) Fortunatus Musilimu(kulia)akikabidhiwa msaada wa kompyuta mpakato na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa GSM Group,Matina Nkurlu(kushoto)kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya”Usalama barabarani kamanda Cup”yatakayoanza hivi karibuni yenye lengo la kutoa elimu ya Usalama barabarani na namna ya kutumia vyombo vya moto vizuri.

Comments

comments

You may also like ...