Header

January 2019
IFAHAMU KWA KINA TAMTHILIA MPYA YA PETE KUTOKA KENYA!

Pete ni tamthilia inayoangazia maisha ya ndugu au kaka wawili (Mbura na Jasiri) ambao baada ya kifo cha kiongozi wa kisiwa cha Funzi ambaye ni baba yao (Mz Dalu), walianza kung'ang'ania uaongozi. Uongozi huo uliibua chuki, ubinafsi, vitimbi na ... Read More »

January 10, 2019 0

IFAHAMU TAMTHILIA YA PETE YA NCHINI KENYA!

Pete ni tamthilia inayoangazia maisha ya ndugu au kaka wawili (Mbura na Jasiri) ambao baada ya kifo cha kiongozi wa kisiwa cha Funzi ambaye ni baba yao (Mz Dalu), walianza kung'ang'ania uaongozi. Uongozi huo uliibua chuki, ubinafsi, vitimbi na ... Read More »

January 10, 2019 0January 1, 2019

Fid Q afunga Ndoa na Karima

Rapa  FidQ amefunga ndoa na mpenzi wake Karima. Karima na Fid Q walianza kuweka wazi uwepo wa penzi kati yao Mwaka jana.   Rafiki wa karibu wa Rapa huyo, 'AY' kupitia ukurasa wake wa Twitter aliweka picha yao hii na kumpongeza ... Read More »

January 01, 2019 0
January 1, 2019

New Music Video: Wauwe By Marioo

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Marioo ameachia wimbo wake wa kufungia mwaka wa 2018 unaokwenda kwa jina 'Wauwe' uliotoka sambamba na video yake rasmi. Ni wimbo wa kuchezekana uliotayarishwa na Producer Black na video ya wimbo huo kuongozwa na Director ... Read More »

January 01, 2019 0

January 1, 2019

New Music Video: Wote By Royazdad

  Msani wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania chini ya lebo ya Mbilinyi Worldwide Music ameachia rasmi video ya wimbo wako uitwao 'Wote'.   Wimbo huu umetayarishwa chini ya MWM studio, video kuongozwa na Director Hanscana.   https://www.youtube.com/watch?v=8TqvXZKRlww&feature=youtu.be

January 01, 2019 0