Header

Fid Q afunga Ndoa na Karima

Rapa  FidQ amefunga ndoa na mpenzi wake Karima. Karima na Fid Q walianza kuweka wazi uwepo wa penzi kati yao Mwaka jana.

 

Rafiki wa karibu wa Rapa huyo, ‘AY’ kupitia ukurasa wake wa Twitter aliweka picha yao hii na kumpongeza kwa hatua hiyo kubwa ya wawili hao kuwa mme na mke.

Comments

comments

You may also like ...