Header

Mbosso aahidi kuachia kolabo na Staa wa Nigeria katikati ya Mwaka 2019

Staa wa Bongo Fleva kutoka lebo ya WCB Records amemtaja msanii kutoka Nigeria aliyeshirikiana naye kwenye wimbo uliopangwa kutoka katikati ya Mwaka huu mpya wa 2019.

Akizugumza na Mzazi Willy M Tuva nchini Kenya, Mbosso amesema kuwa anashahuku kufanya kazi na mastaa wa nchini Kenya kama vile na kundi la Sauti Sol, Nai Boi, Gabu kutoka kundi la P Unit na mpango wake kwa Mwaka 2019 ataachia kolabo yake na Mr. Flavour kutoka Nigeria.

 

Comments

comments

You may also like ...