Header

Mbosso asimulia mlolongo wa misiba kila alipoachia wimbo mpya 2018

Msanii kutoka lebo ya Muziki ya WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi a.k.a Mbosso amedai kuwa kwa mwaka 2018 amekuwa akishangazwa na misiba iliyokuwa ikitokea pindi alipokuwa akiachia wimbo mpya sokoni.

Akizungumza na Mtangazaji wa vipindi vya Burudani nchini Kenya, Mzazi Wily M Tuva, Mbosso alisema kuwa alikuwa akiingiwa na uoga kila alipowa na mpango a kuachia wimbo mpya kutokana na hali ya watu wake wa karibu kupata Msiba na matukio ya misiba mbali mbali ikiwemo misiba ya kitaifa iliyotokea ndani ya muda aliachia kazi zake mpya.

 

Comments

comments

You may also like ...