Header

Pilot aweka nyingine kwa Mkono wa Lizer Classic

Msanii wa muziki kutoka Omani mwenye Asili ya Kitanzania, Hamdan Al Zakwani a.k.a Danzak ameachia wimbo wake mwingine unaokwenda kwa jina ‘Kichaa’.

Danzak mwenye taaluma ya kurushaji wa ndege katika nafasi ya Urubani, wimbo wake huu ni wa pili kutoka baada ya kuachia wimbo wake unaokwenda kwa jina ‘Fallin” uliotoka rasmi mwaka jana.

Utazame wimbo wake mpya ‘Kichaa’.

Comments

comments

You may also like ...