Header

changezndzaiDecember 11, 2017

MSANII DOGO RICHIE APANIA MWENDO KASI!

Msanii Dogo Richie Msanii Dogo Richie kutoka Kenya, ameanza kuonekana kocopy wanavyofanya wasanii wengi wa Bongo Flava. Richie Ree ambaye hivi majuzi amekuwa kwenye headlines za nchini Kenya pale alipomkaribisha msanii Aslay kwenye tamasha lililofanyika Mjini Mombasa kwenye ... Read More »

December 11, 2017 0
MR. NICE ASEMA HAMJUI WALA KUMTAMBUA YOUNG DEE!

Mr. Nice Mr. Nice  kwasasa amekua akizibugia nondo kuu za headlines ndani na nje ya Tanzania, ni baada ya kumtishia kumchukulia hatua kali msanii wa Bongo Flava mwenzake Young Dee. Hii ni baada ya Young Dee kutumia miondoko na ... Read More »

December 07, 2017 0


NEW VIDEO: ABDU KIBA X ALIKIBA- SINGLE

Ndugu wawili Alikiba na Abdu Kiba hatimae wameachilia kibao chao kipya kwajina ''Single''. Mastaa hawa wawili ambao wamebarikiwa sihaba na sauti ama vokali kali za muziki, wamekuwa wakiwaacha mashabiki wao na maswali chungu nzima kwani licha ya Alikiba kuwa ... Read More »

November 30, 2017 0