Header

Dan Paul
September 4, 2018

Uhondo wa DStv Wiki hii

Mashindano mapya kabisa ya UEFA Nations League yanaanza kutimua vumbi wiki hii huku pazia likifunguliwa na magwiji wawili wa Soka siku ya Alhamisi. Ambapo Ufaransa (Mabingwa wa Dunia) watacheza dhidi ya Ujerumani (Mabingwa wa Dunia waliopita). Kisha kuendelea na ... Read More »

September 04, 2018 0
June 28, 2018

MULTICHOICE TANZANIA YAWEKA NGUVU KWENYE RIADHA

 MultiChoice Tanzania imetangaza kuendelea kudhamini mchezo wa riadha hapa nchini huku ikisaini makubaliano maalum ya kumdhamini mwanariadha kinda Francis Damiano Damasi. Udhamini huo unahusisha fedha ya kujikimu kwa mawanariadha huyo na mafunzo yake na wanariadha wengine katika kambi maalum ... Read More »

June 28, 2018 0