Header

Dinny Nasoro

October 17, 2017

Ray Vanny aeleza alichozungumza na Rick Ross

Ray Vanny amezungumza nasi kuhusu alivyojisikia baada ya kuonana uso kwa uso na rapper wa Marekani, Rick Ross. Ameiambia Dizzim Online, "Kiukwel najiskia ni mtu ambaye nimekuwa mpya kwasababu ni nafasi ambayo sikuitegemea na ninamshukuru Mungu na mashabiki zangu na menejimenti ... Read More »

October 17, 2017 0