Header

Pablo Mlatin

Juma Kibwana maarufu kama Pablo Mlatin ni Mwandishi wa habari za Michezo na Burudai kutoka DizzimOnline


May 18, 2017

Willian aikataa Manchester United

Kiungo Mshambuliaji  wa Chelsea na timu ya Taifa ya Brazil, Willian, amekataa mpango wa kujiunga na Mashaetani Wekundu wa Jiji la Manchester. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28, amesisitiza kuwa anafurahia maisha ya Stamford Bridge, hasa baada ya ubingwa ... Read More »

May 18, 2017 0


May 16, 2017

Tambwe apelekea Ubingwa Jangwani

Mshambuliaji wa Yanga Amiss Tambwe amefunga goli muhimu na pekee kwenye mchezo wao dhidi ya Toto Africa uliofanyika Katika dimba la Taifa jijini Dar Es Salaam. Tambwe ameifungia Yanga goli muhimu mnamo dakika ya 82 ya mchezo huo na kuifanya ... Read More »

May 16, 2017 0


May 16, 2017

Simba Sc yapigana kumrudisha Mo kundini

Mohammed Dewji jina maarufu hapa mjini "Mo" ameamua kujitoa katika suala la mchakato wa mabadiliko baada ya klabu ya Simba kuingia mkataba wa miaka mitano na kampuni ya ubashiri ya SportPesa. Dewji ameonesha  kukasirishwa baada ya uongozi kutomshirikisha yeye pamoja ... Read More »

May 16, 2017 0May 15, 2017

Kelvin Yondani aiponda Simba Sc

Beki kisiki na tegemeo wa Mabingwa watetezi Yanga, Kelvin Yondani ameitupia kijembe timu yake ya zamani ya Simba, kwa kutamka kuwa hajutii kutua Jangwani kutokana na mataji mengi ya ubingwa wanayoyachukua tangu asaini kukipiga timu hiyo. Kauli hiyo, ameitoa mara ... Read More »

May 15, 2017 0


May 15, 2017

Peter Manyika ajiaanda kutimkia Uholanzi

Golikipa ambaye amekuwa hana nafasi kwenye kikosi cha Omog huko mitaa ya Msimbazi ,Peter Manyika anatarajia kuondoka ndani ya klabu hiyo mara baada ya ligi kuu kumalizika na kwenda kwenye majaribio nchini Uholanzi. Akizungumza na Gazeti la Bingwa  Baba mzazi, ... Read More »

May 15, 2017 0