Header

Godfrey Mgallah

Godfrey Mgallah McDanniel better known as Mgallah,He is a Journalist Broadcast professionally who based on writing about Entertainments and Sports.Currently He is a Head of Content at DizzimOnline Media and Chief Editor at dizzimonline.com .You have an access to share your News and opinions by following him on the Social Networks below

May 5, 2017

EUFA yaja na mfumo mpya wa upigaji penati

Shirikisho la kandanda barani Ulaya (UEFA) Lipo katika mikakati ya kufanya majaribio mfumo mpya wa upigaji wa mikwaju ya Penati mitano mitano ili kuondoa faida ya timu inayoanza kupiga Penati hizo. Mfumo huo mpya, ambao unatambuliwa kama ABBA, utatumika kwa ... Read More »

May 05, 2017 0

May 3, 2017

Ronaldo aichakaza Atletico Madrid

Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno,Cristiano Ronaldo jana usiku ameng'ara baada ya kuiwezesha timu yake kuichapa Atletico Madrid mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya klabu bingwa barani ... Read More »

May 03, 2017 0


​Ubaguzi wa rangi wamponza Sulley Muntary

Kiungo wa Klabu ya soka ya Pescara Sulley Muntary amegomea mchezo wa Seria A dhidi ya Cagliari jana usiku baada ya kupewa kadi ya njano na Mwamuzi kufuatia kulalamikia kitendo cha ubaguzi wa rangi alichooneshwa na Mashabiki, na kutoka ... Read More »

May 01, 2017 0

April 30, 2017

Sunderland bye! bye! EPL

Timu ya Ligi kuu England, Sunderland imeshuka daraja rasmi baada ya mfululizo wa matokeo mabaya na jana kuruhusu kipigo cha goli moja dhidi ya Bournemouth ,Goli lililowaonesha njia ya kutokea. Sunderland ambao wameshuka kwa mara nne kwenye misimu tofauti tofauti ... Read More »

April 30, 2017 0