Header

D' Mike

Radio/Media Personnel
October 4, 2018

Sallam SK Aweka neno juu ya HELA

Meneja wa msanii wa muziki, Diamond Platnumz, Sallam SK ameweka ujumbe wa kuwakumbusha watu juu ya kutokatishwa tamaa katika utafutaji na kufanikiwa kumiliki HELA. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Sallam aliandika kuwa zipo pande mbili kimaisha za hali ya kuwa ... Read More »

October 04, 2018 0
Chelsea vs Liverpool Jumamosi hii ndani ya Superport

Jumamosi hii kwenye Premier League, Wana wa darajani aka the Blues - Chelsea ambao wanashikilia nafasi ya 3 katika msimamo wa Ligi watakuwa wakiwakaribisha vinara wa Ligi wanaoshikilia namba 1, Liverpool. Hii ndio mechi nadhani raia wote tunaisubiri kwa ... Read More »

September 26, 2018 0