Header

Fredrick 'Skywalker' Bundala

December 11, 2017

Video Mpya: Azma Mponda f/ Gilad – Shubiliga

Rapper Azma Mponda ameachia video ya wimbo wake mpya alioupa jina 'Shubiliga' na aliyomshirikisha mwanamuziki wa Kenya na mshindi wa tuzo mbili za Afrima 2017, Gilad. Wimbo umetayarishwa na Kita the Pro/Alfizoh huku video ikiongozwa na Brian Mhando. https://www.youtube.com/watch?v=I8WzFN9O5nI&feature=youtu.be

December 11, 2017 0


December 8, 2017

Video Mpya: Diamond f/ Rick Ross – Waka

A Boy From Tandale, Diamond Platnumz ameachia video ya collabo iliyokuwa ikisubiriwa sana kati yake na bosi wa MMG, Rick Ross. Video ilifanyika huko Miami na muongozaji akiwa Mr Moe Musa. Itazame hapo chini. https://www.youtube.com/watch?v=q1iHgDTplfw

December 08, 2017 0


December 8, 2017

Video Mpya: Mwana FA f/ Maua Sama – Hata Sielewi

Mwana FA amerejea tena kwa kishindo na ngoma mpya 'Hata Sielewi' aliyomshirikisha Maua Sama. Ngoma hiyo imetayarishwa na Hermy B huku video ikiongozwa na kampuni ya Studio Space Pictures ya Afrika Kusini. Kitazame kichupa hicho hapo chini: https://www.youtube.com/watch?v=J35qZPIMjUQ&feature=youtu.be

December 08, 2017 0
December 6, 2017

Mimi Mars: Kwa sasa nipo single

Muimbaji wa 'Sitamani' Marianne Mdee aka Mimi Mars amedai kuwa yupo single. Kwenye mahojiano na Dizzim Online, mrembo huyo amedai kuwa hata kama siku akiwa kwenye uhusiano hawezi kuyaanika sababu si mtu wa aina hiyo. "Right now personally I am ... Read More »

December 06, 2017 0