Header

Artists News

All posts under Videos is in this page.


June 12, 2018

Je, Ben Pol na Dully Sykes ni kolabo??

Mkongwe na Staa wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes anaonekana kuwa karibu na hitmaker wa wimbo 'Phone', Ben Pol na kuna uwezekano wa wawili hawa kushirikiana kikazi. Kwenye Ukurasa wa Instagram, Ben Pol ambaye jina lake kamili ni Benard Michael ... Read More »

June 12, 2018 0
May 26, 2018

Tekno Miles na Mwimbaji Lola Rae wapata mtoto

Inawezekana kabisa Mtayarishaji na Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria, Augustine Miles Kelechi 'Tekno Miles' amepata mtoto na Msanii Lola Rae. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, @Teknoofficial ameweka picha iliyoonesha mkono uolihisiwa ni wake kutokana na tatoo iliyoonekana na katika ... Read More »

May 26, 2018 0