Header

Artists News

All posts under Videos is in this page.
March 30, 2017

Shamsa Ford atangaza hali ya hatari

Muigizaji Shamsha Ford na mke halali wa mfanyabishara maarufu jijini Dar Es salaam  Chid Mapenzi awalilia watanzania waliohusika katika kuibiwa kwa account yake ya Instagram. Kupitia ukursa wa ndugu yake wa kiume mwenye makazi yake China Wabogojo Ford ilipostiwa video ... Read More »

March 30, 2017 0


March 30, 2017

Idris Sultan ampa pole mama yake Harmonize

Muigizaji na mchekeshaji Idris Sultan aendeleza timbwili la kurushiana maneno mtandao kwa msanii wa Bongo Fleva Harmonize baada ya mzozo huo kushamili hapo jana. Harmonize alijibu post ya Idris Sultan kwa maneno yaliyoonesha kuwepo kwa kutoelewana na mapema asubuhi hii ... Read More »

March 30, 2017 0


March 30, 2017

Michepuko tupa kule: JB atangaza kuokoka

Muigizaji wa bongo movie  Jacob Stephen 'JB' alimaarufu kama Bonge la Bwana amelezea maisha yake halisi ya kiroho na anachokiamini kiiamani. Akijibu maswali ya mashabiki kupitia Kikangaoni ya Ea Tv JB amesema kuwa ameokoka na anampenda yesu kauli niliyoonesha wazi ... Read More »

March 30, 2017 0