Header

Artists News

All posts under Videos is in this page.March 3, 2017

Rapper Foxy Brown ajifungua mtoto wa kike

Rapper wa Marekani, Foxy Brown amejaaliwa kupata mtoto wa kike hivi karibuni. Taarifa hiyo ilitolewa na mtangazaji wa TV, Wendy Williams kwenye talk show yake. “Literally, as I’m putting on my bracelet, the telephone rings,” Wendy aliwaambia watazamaji wa show yake. ... Read More »

March 03, 2017 0

March 2, 2017

PICHA: Dogo Janja apata Ndinga mpya

Baada ya kuvunjiwa gari yake na wezi kupotea na Spair hatimae Dogo Janja amepata gari nyingine mpya aina ya Toyota Raum aliyonunuliwa na kiongozi wake wa kundi la Tip Top Connection 'Madee' Kupitia ukurasa wake wa Instagram Dogo Janja "Nimeamini ... Read More »

March 02, 2017 0