Header

Artists News

All posts under Videos is in this page.

March 13, 2017

P-Funk Majani asema atafanya kazi na Harmorapa

Producer wa Bongo Records, P-Funk Majani amethibitisha kuwa atafanya kazi na rapper aliyemwelezea kama ‘internet staa’ Harmorapa. Hata hivyo ili Majani ambariki Harmorapa na midundo yake ni lazima ajifue kufikia kiwango anachokihitaji. “Tutafanya nimemuambia ‘wewe kijana kajifue sana kwanza utakuja,’” ... Read More »

March 13, 2017 0