Header

Artists News

All posts under Videos is in this page.

January 2, 2018

Kumbukumbu ya Kufariki kwa Muigizaji Sajuki

Katika kumbukumbu, Tarehe 2 Januari mwaka 2013 Muigizaji wa kiume kutoka katika tasnia ya Bongo Movie Tanzania, Juma Issa Kilowoko ‘Sajuki’ alifariki Dunia kutokana na hali ya kuugua kwa muda mrefu ikiwa ni mwenye kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya ngozi, uvimbe tumboni ... Read More »

January 02, 2018 0December 29, 2017

Wolper Atangaza rasmi kumpiga chini Brown

Mrembo mjasiriamali kutoka Tanzania, Jacqueline Wolper ameondoa utata ulokuwepo juu yake na kijana mjenga misuli na mwanamitindo kutoka Tanzania anayejulikana kwa jina maarufu la Brown. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wolper ametoa taarifa za kuwa ameingia katika penzi zito na mtu ... Read More »

December 29, 2017 0