Header

OUR BLOGMr. Eazi na Prezzo kwenye umati wa mashabiki nchini Kenya

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Oluwatosin Oluwole Ajibade 'Mr. Eazi' anmeweka picha yake kwenye mtandao wa instagram akiwa katika hatua za uchukuaji wa kumbukumbu ya picha na mashabiki wake mjini Nairobi nchini Kenya. Eazi yuko nchini humo katika ziara ... Read More »

April 06, 2018 0April 4, 2018

UEFA champions League ndani ya DStv

Michuano ya UEFA champions League hatua ya robo fainali raundi ya pili inaendelea leo siku,  Jana usiku tulishuhudia hatua ya kwanza ya robo fainali, ambapo Juventus walipigwa 3-0 na Real Madrid hivyo Madrid kusonga mbele kwenye michuano hii na mechi ... Read More »

April 04, 2018 0