OUR BLOG

March 8, 2017
Has Kenyan Musician SUDI BOY Convert To Christianity ?? Here’s The Truth
Popular Kenyan musician, SUDI MOHAMMED aka SUDI BOY has debunked rumours that he has converted to Christianity. The 'Naona Bado' hit maker restated that he remains a devoted Muslim and has no reason whatsoever to renounce his faith. He ... Read More »
March 08, 2017 0

March 7, 2017
Picha: Beyonce ampeleka Blue Ivy kwenye premiere ya Beauty And The Beast akimvalisha nguo ya tshs milioni 57
Akiwa na umri wa miaka mitano tu, binti wa Beyonce ameanza kujifunza namna ya kuishi kama diva. Nguo za Blue Ivy alizozivaa kwenye premiere ya filamu ya Beauty And The Beast si za mchezo mchezo. Mtoto huyo alivalishwa nguo zenye ... Read More »
March 07, 2017 0

March 7, 2017
Chance The Rapper atoa mchango wa dola milioni 1 kwa shule za Chicago
Chance the Rapper ametangaza Jumatatu hii kuwa anachangia kiasi cha dola milioni 1 kwa shule za umma za Chicago kwaajili ya miradi ya sanaa. Kiasi hicho cha fedha kitatoka kwenye mauzo ya tiketi za ziara yake. Akizungumza kwenye mkutano uliofanyika ... Read More »
March 07, 2017 0

March 7, 2017
Kwa kitendo hiki!! Nikki wa Pili atoa tano kwa Vyombo vya Habari
Wiki mbili zilizopita Rapa kutoka Arusha Nikki wa Pili alivibeza vyombo vya habari kwa kusema kuwa vimeshuka thamani kwa kitendo cha kutoa nafasi hata kwa wasanii wachanga kufanya mahojiano kirahisi tofauti na zamani ambapo ilikuwa ni ngumu sana kupata ... Read More »
March 07, 2017 0

March 7, 2017
Wizkid ashinda tuzo ya kwanza ya iHeart Radio
Staa wa Nigeria, Ayo Balogun maarufu kama 'Wizkid' ameshinda tuzo ya iHeart Radio kupitia kushirikishwa kwenye wimbo wa Drake, One Dance. Hiyo ni tuzo ya kwanza ya kimataifa mwaka huu kwa msanii huyo baada ya wimbo huo kukosa tuzo ... Read More »
March 07, 2017 0

March 7, 2017
TENNIS: Rafael Nadal hoi kwa Sam Querrey
Mcheza Tennis Sam Querrey kutoka Marekani amefanikiwa kushinda taji la ATP 2017 katika michuano iliyofanyika nchini Mexico baada ya kumfunga Rafael Nadal kwenye mchezo wa fainali iliyofanyika usiku wa kuamkia jana. Sam alifanikiwa kushinda fainali hiyo kwa jumla ya 6-3 ... Read More »
March 07, 2017 0

March 6, 2017
Here’s Why SANCHEZ Was Dropped During The Liverpool Match
Arsenal star Alexis Sanchez was dropped for Saturday's Liverpool game as a disciplinary measure after falling out with Arsene Wenger and storming out of a training session during the week, several British newspapers reported on Sunday. Georginio Wijnaldum scored ... Read More »
March 06, 2017 0

March 6, 2017
KHALIGRAPH Na RAYVANNY Kuachia Collabo Yao Hivi Karibuni
Mwaka uliopita tuliandika story kuhusu msanii wa hip hop humu nchini KHALIGRAPH JONES kumzimia msanii wa bongo flava anayetokea label ya Wasafi, RAYVANNY. Habari njema sasa kwa mashabiki ni kuwa wawili hao wameshafanya kwa pamoja na hivi karibuni utapita ... Read More »
March 06, 2017 0

March 6, 2017
Fid Q adai Namba 8 aliyoshirikishwa na Daz Baba ilihit kama Muziki ya Darassa
Fid Q amedai kuwa wimbo Namba 8 alioshirikishwa na Daz Baba ulihit kwa ukubwa ule ule ambao wimbo wa Darassa Muziki ulifanya. Amedai kuwa wiki moja tu baada ya kutoka, Daz alikuwa wakifanya show Jumatatu hadi Jumatatu kiasi cha ... Read More »
March 06, 2017 0

March 6, 2017
MCHANA KWEUPEE!!: Kocha wa Simba Joseph Omog aota ubingwa wa VPL
Baada ya sare ya magoli 2-2 dhidi ya Mbeya City wikiendi iliyopita Kocha mkuu wa wekundu wa Msimbazi Joseph Omog amefunguka na kudai kuwa ndoto ya klabu yake kutwaa ubingwa bado ipo pale pale. Akiongea na DizzimOnline leo kwenye uwanja ... Read More »
March 06, 2017 0

March 6, 2017
Barakah The Prince: Sina ukaribu na wasanii wa WCB tofauti na Diamond na Rich Mavoko
Barakah The Prince amedai kuwa hana ukaribu na wasanii wa WCB zaidi ya Diamond na Rich Mavoko. Muimbaji huyo amedai kuwa ukaribu wake na Diamond pamoja na Rich Mavoko ulianza kitambo. Akiongea na kituo cha redio cha Dodoma cha ABM ... Read More »
March 06, 2017 0

March 6, 2017
Vanessa Mdee teases new upcoming project
Vanessa Mdee had a very comfortable and successful year. In 2016, she was in three major projects that took her in different charts across the continent. Apart from her solo project, Cash Madame, she was featured on Mwana FA’s ... Read More »
March 06, 2017 0