Header

OUR BLOG

March 6, 2017

Kunani Kati Ya DR EDDIE Na OTILE BROWN ??

Huwezi kutaja mafanikio ya msanii OTILE BROWN bila kumtaja DR EDDIE ambaye anamiliki Dreamland Music Empire. Hivi karibuni inasemekana kuna vuta nikuvute za hapa na pale kati ya wawili hao. Kuthibitisha kwamba kuna kitu kinachoendelea, OTILE kupitia mahojiano na ... Read More »

March 06, 2017 0

March 3, 2017

Yanga yamtimua Hans van Pluijm

Uongozi wa Yanga leo umesitisha mkataba na mkurugenzi wao wa ufundi Hans van Pluijm,Van Pluijm alikuwa kocha wa timu hiyo kabla ya kubadilishiwa majukumu kuwa mkurugenzi wa ufundi baada ya ujio wa George Lwandamina ambaye ndio kocha mkuu kwa ... Read More »

March 03, 2017 0